Subwoofer humming/buzzing

Niko na kasubwoofer kabedroom na kanasumbua sana na hiyo humming. It even hums on standby mode. I have to always switch it off kwa socket na wall iko the farthest end of the room. Anyway I can fix that?

Your speaker is ok,jaribu kuiconnect kwa room ingine see if the humming is still on,if so,probably you’ll need to check the wires . If not the wires,it could be magnetic interference from other components,move them around to find the culprit. If you cant move the sub,plug it to another power source if it has independent plug …worse case scenario,a sheath current filter will suffice if the woofer connects kwa tenje
[ATTACH=full]377020[/ATTACH]

The hum (@50Hz)bis usually from the power supply. Check your grounding or shield/isolate the PS transformer

Itupe ununue ingine. I no longer bother with repairing those small sound systems since one caught fire and I almost choked to death from the smoke. Alafu nikapata ati they cost less than a new kabambe. Ikianza kukoroma, nauzia fundi mia saba napiga order jumia

[ATTACH=full]377044[/ATTACH]

[ATTACH=full]377045[/ATTACH]

Hio ni leaking capacitors kwa power supply

Ni brand gani?

Itoe kwa mtungi na ununue home theater ya Sony utakuwa set

Hiyo humming sound ni ya Subwoofer low quality na mwishowe itaoverheat inyamaze na ukirepair bado utarepair tena na tena …

Ukitaka ondokea hizo mashida nunua Payoneer or Sony Home Theatres… Hizo zinaangusha madirisha with no overheating and extremely silent on standby… Pia quality ya sound iko top notch… Pricing usually from 25k kuenda Juu…

I bought mine 9 years ago and still never had a problem… Vox pia si mbaya…

F

At first why do u have a a subwoofer in your bedroom

Kuneatralize nduru za mizoga akinyanduana, [SIZE=1]acha maswali ya kipussy nani,nitakufinyaaaaa[/SIZE]

Gaaaaaay

Von

Ni tu ya kwa bedroom. Ikishindikana nitanunua tu kengine

Venye umeambiwa hapo juu plus you get to doze off na some reggae tunes after kazi

Not a bad one. Check out the origin of the problem

Tafuta earth.

Kama iko na option ya 12Volt DC nunua external adapter ya 12V 1 Amp uwache kutumia inbuilt transformer.

Hiyo humming inaitwa white noise, it occurs during step down of AC voltage in cheap transformers, pia after rectification the bridge rectifier it is not able to filter it out. Use external power adapter

hii kenya mtaishi kunishangaza…:oops::oops::oops::oops::oops: hizi ni nini sasa

Kitu ndogo ya kuskiza ngoma kwa bedroom. Just throw away and get another. Hakuna tofauti ya hii na ya 10K. Actually if you rip it apart you find that they use the EXACT SAME generic components. Tofauti huwa size ya body na bei.