Subaru ya mabaru

[ATTACH=full]470114[/ATTACH]

KAZI NI KAZI.

Cops.

mabaru or mambaru??

These young men don’t even listen to the lyrics of the soundtracks they play wakipanua cheeks. :rolleyes:

lazima ni pesa za magendo
hakuna mtu legit anatembeanga na 1.5m kwa glove box
kama uko na biashara ya pesa mingi, zoea mpesa ama bank transfer ama lorry ya g4s

Wewe kweli ni peasant. 1.5M ni pocket change kwa sisi birrioneas. All I need is a jacket with many pockets or a simple bag na hakuna place siwezi enda na hio doh.

unatoa wapi 1.5 m cash?
in 1000 denominations?

muindi pale inda alikuwa anatulipa na coins 2018 nikakataa nikasema watume mpesa nikavutwa kazi

…na kulamba meffi juu wako na 150/-

Ile kazi ya kuendesha trailers Canada iliendaje?

Ni God manze

Haujawai jenga flat and it shows. Ungesoma beyond the headline uongeona hio pesa ilikua ya kazi gani…