subaru pale slum

[MEDIA=twitter]1653769620413718530[/MEDIA]

Kichwa tu woiye…

Beb naingiza tu kichwa

Schoolmate wangu wa pale Oxford junior alikuwa anakaa jogoo rd maringo. Iko siku mulevi alipita na ukuta Yao akiwa ndani ya gari usiku Saa tiaa. Alikuwa akituambia gari headlight na hazard ilikuwa ina waka Kwa bedroom yake. Kuamka alikuwa anaona ni kama rapture end of the world angel Gabriel akimkujia.