Subaru legacy Bh5

Wangwana someone to direct me where I can get the boot of the car mentioned at a fair price… Asande

Brathe hapa nayo utang’ang’ana kidogo juu hio gari ni ya kitambo kidogo. Drive train and body parts hazipatikani kwa urahisi. I have one that needs a new gearbox but nimeshindwa kupata exact replacement I am mulling changing the rear diff. Anzia Kirinyaga road hio street ya nyumba ikishindikana enda hizo yards za kangundo road na eastern bypass za kukatakata magari.

3 Likes

Tafuta jamaa anaitwa sherriff’s car sourcing ama Jim mlatino on fb…they might help you.

2 Likes

jim mlatino does a good job

3 Likes

3 Likes