Subaru imefika

Sasa ni roadtest:D:D:D…

[ATTACH=full]209111[/ATTACH]

[ATTACH=full]209110[/ATTACH]

[ATTACH=full]209109[/ATTACH]

[ATTACH=full]209108[/ATTACH]

[ATTACH=full]209107[/ATTACH]

[ATTACH=full]209106[/ATTACH]

Huko ni wapi wameeka lami ya leather?

hata si leather ni rexine

Toy car on a table

mko sure hii si toy car?

Iko kwa dash ya jalopy…

Small dick syndrome.

Hiyo gari yako unaendesheanga kwa mfuko?

Hiyo ni gari iko ndani ya gari nyingine!

sweet skies, subaru imebaki parking:D:D…

[ATTACH=full]209131[/ATTACH]

[ATTACH=full]209141[/ATTACH]

That’s a really good replica

Naona Die cast collectors tuko wengi.

iko chafu sana. leta carwash tunukishe kitunguu

Paipu kuna maji au mnaosha na sewage?

kuna mayi mingi sana. hujui Embakasi South yote was previously a swamp?

:smiley: :smiley: :smiley:

Shiet karibuni waters…

[ATTACH=full]209177[/ATTACH]

Umebuy diecast wapi na imefika na how much? It looks very good.

https://www.ebay.com/itm/1-36-Subaru-STI-Rally-Mento-Carlos-Race-Car-Model-7-Solberg-Diecast-Model-Car-/282833258890

Total: $15.5

via posta?