Wazazi saidieni your daughters. Sasa huyu ameweka viraka kwa kichwa[ATTACH=full]119760[/ATTACH]
1 Like
Chesos! Hio ni kitambaa ya nywele iko incorporated. :eek:
mblo naona unaumia sana na wenzako ni pesa tu wanasaka mchana
Sio lazima mtu atoe nguo ndo aitwe mwenda wazimu… And maybe she saw a character on those tv shows done up like this akasahau hiyo ni make believe sio real life.
2 Likes
:D:D:D:D
Izo ndizo swali bibi yako ukuliza?
…hapa ni pale buru?
Nywele yake inakuwashia nini? Let her express herself the way she wants. She looks young and I think it’s a cool protective style.
inakaa mop/ ya kupanguza nyumba ile iko kwa kijiti
Yaani ulifwata mnyambo ya mtu ukimpiga picha? Makende ww
1 Like
hapa ni umo
Wacheni watoto wa instagram wajibambe
what the fuck
its a stage. na uwache kustalk yeye, omba kinyambis namba like a real ninja
Media influence