Stupid media have splashed headlines POLICE have been awarded 19% kumbe ni 9% which is a patlry ksh.1,600 bob kwa constable.
PAYSLIP imetoka na hiyo 9%…ama iko mtu amemeza hiyo 10% imebaki?
Media should apologise.
kina @pamba ,bibi ameongeza budget…hakuna mambo ya matumbo daily tena…mpango wa kando pia ameona headline , an at aka kuhama nyumba kubwa na kuchange weave.
anyway serikali,mkiongeza watu pesa kidogo kama 1,600 bob ifichwe kwa page ya obituaries , wanaume ndio wanaumia.
1,600 bob inatoshea kununua kamba (na sijasema ni ya nini) na kalamu na foolscap (ile karatasi ya kuandikia barua). Kalamu na foolscap nitasema niya kuandika will, na bado iko change.
Mimi nilichanganyikiwa na ile story ya Serem when they equated salary cuts of around 8B to a reduction from 52%-35% of the wage bill…ama I missed something? Nichanueni for those who understand the maths behind it