Strike back

Its a great series .Nipewe similar series (counterterrorism n some military action)

Designated survivor

Hehehe… Sema umependa vile Damien Scott ( Sullivan Stapleton) anakamua madame left right and center!

The unit …utapenda sana

Kuna E-ring pia lakini ni season moja.

Sana

American odessey

Homeland.