Strange numbers

Wadau ni kama kuna msee amenifanyia ile kitu. Nashuku sana ni sister ya @Eng_iti dem flani wa huku Acacia mkisii nilimkua na nikachorea story zake. I have been getting strange texts, calls and WhatsApp messages from different numbers. Sijui ni kama alitengeneza poster akidai mi ni mganga kutoka Kitui kwa akina @PERDITION. Imebaki nimezima simu kabisa.

1 Like

Kaa na shida zako juu ata pia sisi tuko na zetu.