Usungu.dll ndio nyingi, I think it was on purpose.
[ATTACH=full]70649[/ATTACH] [ATTACH=full]70650[/ATTACH]
@introvert leta feya tupige huyu mwisii
Shine your eyes all the way to hell
One of the few honest eulogies in Africa
Hao wasee wako honest
Si Mutuma ni Mukamba?
Baite,
The father is a Methodist deacon na kijana alikuwa anamuaibisha kwa area na wizi ndogo ndogo.
Hehe…hiyo obituary ni slander-job!
Trivialities ama ni pettiness to som extent? Mtu amekufa mzike ufunge chapter. Bitterness and anger hata mtu akishaishia ni ufala. Mtu akidedi ukedi ndio sio mbaya kuwa open about it. Lakini wivi wa mtu itakuwaje akishakufa? Upuss.
Hehehe…
Wacha msee apumzike…
TUPIGE HUYO JAMAA AMEANDIKA EULOGY BANAA
…alikuwa mwizi twamjua, mueke pema peponi!!
uko na the whole thing, majina ya wazazi?
I’m sure huwa ana-sample “kondoo” once in a while.
Can he claim he has never shone his eyes on the church offerings?
In greek, there’s a saying…flour comes from maize…
(mūtu umaga mbebeinï)
Wewe ukikufa si euology yako itakuwa narration ya hardcore porn…Shenji.
Hehehe cheza chini mboss
Mwisii @snapdragon umezidi sasa:
[ATTACH=full]70657[/ATTACH]
Yaani hawo Vaite hawangejaribu sugar coating hata kidogo?
Hii ndio ile huwa naskia ati kuachwa kwa vumbi? hehehee