Story for supper

Me ni one of those boys hustay wawili hivi kwa vitanda sita, I mean bed sitter…so kuna hii day bet iliuma ndani tukaamua mama mboga atumiss kiasi. Me nakaingia butcher kubuy kanusu na viungo kiasi.
Kurudi nakapata kasembe kashaa nukia,my house mate ashaa kaspin. ma 9:30 hivi So nikachangamkia kanyake kukaanga,but nikaa walichinja babuu ya ngombe… nyama ngumu kuliko life yangu.
Ju ya joto most kejani,tukaamua kaivie hapo nje hata plot pia wajue roundi hii si mchezo. Kejani kastory tukipanga burial ya hiyo ngombe, kasembe kamefunikiwa na sufuria,appetite nayo.
Beste kuendea mwili mortuary,akarudi akicheka, msee ametusanya mboga,pamoja na sufuria na jiko. Ilibidi sapa tumekula story.

39 Likes

Noma sana, hii mambo ya kuishi kwa bedsitter si poa

1 Like

MEFFI. Bingwa njoo ujibu huyu!

Hehehe lesson learned

Swafi chukua like lakini keti[ATTACH=full]69117[/ATTACH]

story of a peasant! i like.

3 Likes

utalijua ploti

1 Like

thia is gold

3 Likes

Pass

2 Likes

suits u better

nooooma sana

1 Like

Noma sana.

1 Like

Shiny Eyez manenoz

Story kali.
In my bachelor days after uni, I stayed in an extension with my younger brother. One day the hustle yielded good returns so we made beef stew and a few chapos.
The house had one light bulb attached to a long cord so that you could walk around with it and use it like a torch. Our power bill was 120/= per month.
When supper was ready, just before anyone served, our light conveniently hung on the kitchen door, stupid bulb falls into the beef stew and bursts. Glass fragments in the food… Tears in our eyes.
Shait.

12 Likes

poor sods!

Hyo mungesieve,me nakumbuka there was a day home tulikuwa na hot pot flani ina glass design ya flask lkn ni Pana
So mbocha ilkuwa zmesundwa na ndio Hyo day ilkuwa closing … kwa ufupi Hyo hot pot thermos ilivunjika chapo zkiwa ndani madha akadai ztupwe
Nani ushaichizi,Hyo maneno nlikata mmi nlienda nkapangusa hzo chapati

2 Likes

Buda, glass fragments ndani ya stew?
No tsengiu.

1 Like

Hehe…ilibidi supper tumekula stori

you are welcome for more of my stories
http://hekayazastarborn.blogspot.co.ke/?m=1

Heheh…