Storm Ciara devastating Europe

Kuna hii storm inaitwa Ciara nasikia imeleta ngori Sana pale Britto. Hebu mwenye ako na hii risto in full atuweke Kwa radar manze. Inakaa ni kama hii dunia inaisha very soon watu nguyaz.

America_ hurricane
Africa_ cyclone
Asia_ typhoon
Europe_storm
Kenya_…locust
Ata game ya city ilikua postpone banae. .

Manze kwanza hiyo game ndio iliniuma