Stella's Anniversary

For those who like Rhumba, today is the day Stella came back to Kenya from Japan.

“Ilikuwa tarehe kumi na saba, mwezi wa tano… Stella alitoka amebeba mtoto mikononi”- Freshly Mwamburi

10 Likes

Hehehe @aviator
Na nyuma yake mjapani futi nne na nusu

1 Like

https://www.youtube.com/watch?v=K28-T_idlIc

7 Likes

Niliskia eti ni true story, can someone confirm or deny

It is a true story. The guy was on TV sometime last yr and he said it is a true story.

2 Likes

One of my all favourite songs

Fixed

3 Likes

Ilinibidi nilie kitaita, lugha ya mama na baba, reke mwana nivonye vala leshirei…humming

2 Likes

…Nilitamani kulia kitaita, lakini sikijui…

Ningwendete ta nyama ekuvivia, @Supu don kindu wakwa, comeback , come back stella…,…,…

kindu wa nii…ngwendete ta …

1 Like

heheheh…love that song

yanikumbusha stella ule alikua wangu

nilikua na papa colombo, uwanja wa ndege…

3 Likes

Alipatwa na machungu akalia hata kwa lugha ya Babuon.

3 Likes

Was Stella his wife or GF?

Up to today some make still make such sacrifices only to end up like Mwamburi.

[ATTACH=full]40611[/ATTACH]
I smell a hekaya.

1 Like

nilikuwa na mchumba wangu tulipendana kama nyama choma
alibahatika kwenda ng’ambo chuo kikuu kwenda kusoma
miaka mitatu kule Japani kusomea udaktari
Stella wangu eeh

nilikuwa na mchumba wangu tulipendana kama nyama choma
alibahatika kwenda ng’ambo chuo kikuu kwenda kusoma
miaka mitatu kule Japani kusomea udaktari
Stella wangu eeh

nilivyompenda Stella jamani kajitolea kwa roho moja
nikauza shamba langu sababu yake yeye
nikauza gari langu sababu yake yeye
nikauza ng’ombe na mbuzi sababu yake yeye
ili apate nauli yote na pesa zingine za matumizi huko Japani

ilikuwa tarehe kumi na saba mwezi wa tano
ilikuwa tarehe kumi na saba mwezi wa tano
ndio ilikuwa tarehe kamili ya Stella kurudi Kenya
nilikwenda uwanja wa ndege kupata kumlaki Stella
nilikuwa na Uncle Kilinda kwa uwanja wa ndege
nilikuwa na Basilima Mulomba na mkewe na mtoto wake
nilikuwa na Uncle Mjomba

nilikuwa na ndugu afisi mtoto wa Mombasa
ghafla ndege lilipotua wageni tuliona vituko
Stella alishuka amebeba mtoto mikononi
nyuma yake mchumba wake fupi futi nne Mjapani
nilisikitika ndani ya moyo nikakosa la kufanya
nilitamani nilie kikamba lakini sikijui
ilinibidi nilie kijaluo amatima ngoa choa Freshly

nilitamani nilie kihindi lakini sikijui
ilinibidi nilie kitaita lugha ya baba na mama
ilinibidi nilie kitaita iki mwana niponye vala Freshly

nilikuwa na mchumba wangu tulipendana kama nyama choma
alibahatika kwenda ng’ambo chuo kikuu kwenda kusoma
miaka mitatu kule Japani kusomea udaktari
Stella wangu eeh
nilivyompenda Stella jamani kajitolea kwa roho moja
nikauza shamba langu sababu yake yeye
nikauza gari langu sababu yake yeye nikauza ng’ombe na mbuzi sababu yake yeye
ili apate nauli yote na pesa zingine za matumizi huko Japani

ilikuwa tarehe kumi na saba mwezi wa tano
ilikuwa tarehe kumi na saba mwezi wa tano mwaka elfu moja tisa mia tisaini na mbili
ndio ilikuwa tarehe kamili ya Stella kurudi Kenya
nilikwenda uwanja wa ndege ndio kumlaki Stella
nilikuwa na Uncle Kilinda kwa uwanja wa ndege
nilikuwa na Basilima Mulomba na mkewe na mtoto wake
nilikuwa na Uncle Mjomba

mtoto wa Mombasa ghafla ndege lilipotua wageni tuliona vituko
Stella alishuka amebeba mtoto mikononi
nyuma yake mchumba wake fupi futi nne Mjapani
nilisikitika ndani ya moyo nikakosa la kufanya
nilitamani nilie kikamba lakini sikijui
ilinibidi nilie kijaluo amatima ngoa choa Freshly
nilitamani nilie kihindi lakini sikijui
ilinibidi nilie kitaita lugha ya baba na mama
ilinibidi nilie kitaita iki mwana niponye vala
Freshly

5 Likes

Hehe ES umenionea 18

Is it rhumba ama ni zilizopendwa/kuvuma?