Any insights on steemit they are claiming its going to be the biggest crypto in 5 years.
Tafuta altcoin ya maana. Low cap, high volume. Wekelea 50k. Thank me after 2 months. Sande
@denis young
steem and their gay blog shouldn’t be preaching much. ati kama reddit lakini kuna kakitu, meffi
Crypto mob ni meffi tu. Ni kama dot com bubble. Only a few will be around in 10 years. Kutakuwa na like five extremely successful projects. Hizo zingine ni bullshit tu. Kama pets.com kwa the dot com bubble
niko na 10k qwerty coins… siku zitauzwa past 1 USD mniambie :D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
Wacha nikuambie the right coin to invest in tafuta 50k nunua bytecoin. sahau hiyo stori naungojee 5yrs uone around 10,000% in profit
Lengana nazo…kila mtu ako na altcoin yake nowadays complete with a proof of concept gibberish.