Starlink mini now in Kenya

Here we go guys. Wale walikuwa wakingojea mini ishafika. Subscription per month ni 4k. Happy surfing

Vile inafaa pale safaricom
1iMx5H

Ntakamata next year

1 Like

Tunangonja bei ishuke , we also waiting to see black Friday deals vile zitakuwa .

2 Likes

Safcom na Airtel walete WiFi package ya 1300 wamalize hii Boer.

2 Likes

Waiting for 10k kit and 2k monthly…

2 Likes

Tunangoja ya mchina na 2500 pm