Staedtler Ball Pens




Hizi kalamu zilienda wapi? Sizionangi huku Vumbistan siku hizi.

3 Likes

Mgodi unataka kurudi shule,mambo ya wizi imekulemea?

12 Likes

You could buy them in Amazon or selective quickmats but they sell fast. Bookshops stopped stocking them as the ink hardens fast while still in shelves making them unsalable

7 Likes

Nilitafuta nikakosa. Sikuizi niko Nataraj

1 Like

Bic mambo yote

4 Likes

Kijana ameingia grade four ama?

Kalamu bora? Ni bic!
Bei nafuu? Ni bic!

Hii kalamu hata sikuwahi tumia

1 Like

Hio ni ya kuchora plans.

4 Likes

You keep records of your thievery and hooliganism ?


This was my best nimezitafuta sizipati. Very reliable hata kama haiyonyeshi wino imefika wapi vizuri. Kilometric came a close second. Bic saa zingine inakuanga na uouzi sana inaeza kudissappoint sana. Kalamu mpya inaezaje kataa kuandika sasa

Speedo, write on…

3 Likes

Zilikua zikicheza na league ya hii biro ya Aim, penda sana kwa insha writing and composishen

8 Likes

Tunajua umeiba umekosa market ya kuuza

Tunajua umeiba umekosa market ya kuuza.

2 Likes

Hii ilikuwa my favorite, kuna time nikiwa campus nilijipata library bila pen ya aim. Hio day siku fanya revishen despite kuwa na makalamu za bic hapo ivo.

1 Like

Jamaa akona bag mzima ya makalamu, na hana market

1 Like

Shida ya ball pen Ni iko kwa joto inablot

1 Like

Market forces of demand and supply given their higher price compared to others.

1 Like

Hehe kuna wasee hizo pens zilikuwa zinachemka…pen ilikuwa ya clear inakuwa ya blue yote :green_emoji: used to happen ikiharibika then msee atoanishe tip from the shaft…ukitudisha tip inapandisha wino juu hadi ina flow kama njoti

1 Like