Stack Overflow

Hawa majamaa Bado wako?

After AI iingie sjawai seek any help huko,

Last time nilipigwo za kahasho kama nmeulisa swali, very cold mf.

Umbwa nyinyi have a great weekend.

4 Likes

Kuna technical problems ChatGPT inakuwanga nje kabisa inabidi uulize SO.

1 Like