Wadau, ebu niwaulize. I had applied for this job but inaonekana if I’m a tree holder and not a Kalenjin, hii job ya Chairperson wa SRC siwezi pata. Vetting niliambiwa ni OctoMBA na kumbe people have already been hired. Hehe, pesa nitatuma…ikakuriwa.
Ama is it in the constitushen ile maneno ya Woman Rep? Na huyo mama wa kwanza alienda wapi? Are MPIGs going to be taxed and Marupurupu reduced?
Habari ya Asubuhi @kah tony , unajua Campuni inaitwa Horizon, nasikia ilikuwa na interview na people from all corner of the country walienda.
Nisaidiwe juu hii ni office grapevine na sijui kama ni umama nikonayo ama hii Horizon iko.