Spotted Somewhere in Congo

Sijataja mtu.
[ATTACH=full]237469[/ATTACH][ATTACH=full]237470[/ATTACH][ATTACH=full]237471[/ATTACH][ATTACH=full]237472[/ATTACH]

Meria Mata akiwa gatanga province drc

derefa wa malori wanajulikana

Iyo ni kazi ya ule mweupe, yeye ndie ameshika camera

Usafi ni muhimu

Kazi bana izidi

Mshienzzzzz
mbona kunianika hivi nikiwa uchi?

Kazi ya akina @Meria Mata sometimes inaweza kukupeleka pahali kuna challenges lakini ni tamu juu ya adventure. Last year kuna matruckers fulani walikuwa wanaleta huge transformers na cables za kujenga power station area zetu. Alafu walikuwa wanapark hapo nje ya estate yetu. Sasa siku moja jamaa, dereva alikuja kwa mlango yetu akagonga akasema anataka tu jug moja ya maji na ataileta after 5 min. Nikamuuliza kama ni ya kunywa but akadinda kidogo. Vile aliniambia ni ya kuoga, nilimwambia aingie kwa nyumba, nikampeleka kwa bafu na akaoga na nikampa chai. We still communicate to date.

for your kindness, safi sana, heko

Leo mumeamua ni siku yakunimulika.

Oga kwako udaku uishe.

With the nyceness and sweetness i tell you

:D:D

mwanaume (eeh tunajua handrwiting za tree holders) kupiga picha mwanaume mwenzake picha akioga…