SPONYO HATARI

hekaya from mukuru kwa zukabaga


Kumbe hawa masponsors huwanga devil worshippers…
I came to nai from ocha kutafuta vibarua hapa Kule as well as kuexplore hii Kenya. I was really eager to know more about this city. And yes I knew it very well. I stayed with my aunt and her daughter for a few days nikisakanya wera,wakaanza madharau uzuri nilikuwa nimepata kakibarua, nikahamia lodging ama ndio rooms hapo tao kuna mahali I used to pay 200 Bob a night halafu naamka naenda job. For 2weeks nikitafutanga mahali ningepata single room at least nianze maisha. Luckily nikaget nikalipa rent pesa nilikuwa nayo ikisha.so nikabaki,Mimi na nyumba yangu na manguo kwa suitcase.I used to tandika manguo chini zingine nikatumia kama pasia hadi neiba akanipa vitambaa at least nifunike dirisha, kunitoa aibu ndogondogo(asante sana neiba kama unnasoma hii). Ilikuwa real hustle but I was determined… I cried every night wishing for a better life but wapi…anyway i started slowly nikaadvance nikanunua bed mattress stove…bla bla bla.that’s how’s I started life…solo
2.
I started making friends here and there,they showed me real life…nikaanza kuishi maisha sasa… Night life ikawa tamu. Still kwa ile keja yangu tu.we could get drunk the whole weekend…yaani vile Friday kuanza baaasi life pia inaanza…yaani Friday ikawa ni bae…ikifika basi ni kujiachilia.sio ati we had money for all this, no,na hatukuwa hookers we were just decent girls who could take ourselves to the clubs buy the first drink and dance for more to come. I was medium sized curved 22 year old very good looking. One of my close friends mwenye tungehung out na yeye alikuwa mslender but she could dance.mi ningemove to sideways twerk twerk 1,2 waiter anatumwa tunakunywa nini.we were very naughty hata hatungeangalia nani ametumanisha. So per night tumekunywa enough tumebeba zingine tunahepa…I know some of you mko na hii tabia ya kuhepa…
3.
Katika hizi harakati za kukunywa pombe za wenyewe na kuhepa,niliangukia mjamaa.Mimi Niko kwa floor nadance polepole tu,nilikuwa napenda kudancia soul sana,sana, mjamaa akapita kana kwamba anaenda washrooms, the kabar was kinda squeezed so mtu ukitaka kudance penye kuna space ni kwa njia…anyway jamaa said hi…nikamwangalia sura mbovu, ngiri afadhali,nikafanya mscheeeeeeeeeee
eeeeeeeeeeww nikaroundisha itina nikampa mgongo.akaenda washroom…kurudi just from behind me he said ‘you dance so well’ nikamscheeeeeew tena nikaendelea kudance.this night I was with my gal,sio wa kudance, na boyfie wake…me was single like it wasn’t my business…anyway he went back to his seat,I didn’t even bother to look where coz ile first impression sikumlike hata kidogo…kidogo waiter akakuja ati yule jamaa amesema mpewe anything you want all of you.nilikuwa na njaa na hapo choma ilishinda imenichokoza the entire time. Nikauliza my friends wangetaka nini wakasema tuitisha nyama kilo na jackdaniels Mimi nikaitisha wine jamaa akapelekewa bill…wacha ninyonyeshe nakam
4
Tukakula tukashiba,tukakunywa na Mimi na matako yangu nikashimda tu kwa floor…nikimcheki huyu babu,(wacha nimwite uncle ken),kama vile kengeza,si mnajua vile kuangalia mtu akikuangalia anadhani umeangalia kwingine kumbe ni yeye unamcheki…hii singehepa,my friends were having good time,me too.so tukasema tusitoke mapema wacha tu uncle atachoka aende kulala that’s when tutatoka…we wapi!!! Saa sita,saba, nane, Tisa wololo uncle si uende tu…tulikuwa tumechoka,nikaamua niende tu nimwambie tumechoka wacha tukale na pia asante kwa treat…he held my hand.yoga kidogo ikaniingia nikasikia na akajua nimeogopa.akaniambia nisiogope that he likes me…we! Uncle! In my life I hadn’t thought of having such age as my partner…hata sikuwa nimefikiria.akaingisha mkono kwa mfuko akatoa pesa akanipa bila kuangalia…then akanipa key ya gari akaniambia nimngoje anidrop ama niende tu na gari anajua vile angeipata kesho…he was serious niende na gari…ha ha gari nilikuwa nimezoea ni matatu zenye ningeshuka kila Mara bila simu ama pesa…wezi.lolnikarudi kunarratia wenzangu the guy akasema twende…I was like no way,how now…hata mahali pa kupark hakuna tutaamka tupate ilibebwa…
Natumia kabambe so mniwie radhi
Good morning yaani mnapenda udaku, hata hamkumbuki mtu pia anafaa kupumzika…by the way,composition na insha singemaliza 1 paragraph the whole 40 minutes juu kuconstruct sentensi ilikuwa mlima…twendeleeni sasa
5.
Tulikuwa tumepewa gari,yaani Mimi nilikuwa nimepewa gari aina ya Prado na ndio Prado zilikuwa Prado,wacha na na hizi plastic za siku hizi in the name of prado…sina idea niaje gari uendeshwa naonanga tu driver na steering na gari ikisonga. Nikaamua nirudishe key ya wenyewe nimwambie nimetoka,akasema amemaliza twende tu anidrop,atudrop.well nikasema sawa. Nikakimbia kwa loo kuhesabu salaryyangu ilikuwa 10k…whaaaaaaa
aaaaaaaaaat? A whooooping 10k! Juu nadance poa…ni kazi nitaacha sasa…lol. Na niliacha tu.anyway nikarudi kwa table my friends were ready to leave so was uncle…tukatokanisha kwa gari Mimi mbele my friends of course kwa boot…haha.hakutaka kuongea anything…he was just looking at me and smiling…tukadrop backbenchers ikabaki mi nidropiwe…polepole tunaendesha gari hata watu wa evening walk wanatembeaga faster…anyway tukafika my place akapark gari,akauliza kama anaeza kuja kwa nyumba na Mimi…wololo how now,ashuke kutoka kwa Prado aingie kwa single room na akitaka choo???hangetoshea kwa choo zetu,he was very huge…so nikmwambia naishi na Siz na mtoi akakasema haina shida nikamwambia my Siz ni mstrict hata Saa anaenda kunigombanisha.akafungua roho akaniambia hataki sex na Mimi na sitawahi msikia akiongelea hiyo the far he could go ni kiss tu…wah nikasema nimeangukia,nimefika…hapa ndipo. So he kissed me n told me goodnight.hapo nyuma kwa Viti kulikuwa na shopping ya nakumatt nikamuuliza ni nini amebeba akasema ni shopping tu ya chakula nibebe kama nataka…nikasema of course nataka.akaniambia nibebe enough…there was around five chicken nikachukuwa mbili Smirnoff ice zile za cans nikabeba kadhaa…I carried so many things hadi akacheka tu…hustler ni hustler tu.akashuka akanipeck akaniambia goodnight nikakimbia kwa hao.my whole month was sorted.number niliacha.
6.
I was the happiest. That night I didn’t sleep.nilijiona tajiri sana,nikaanza kununua plot na kujenga nyumba kwa mawazo…young millionaire haha…najenga nabomoa najenga nabomoa hadi message kwa simu ikanishtua…ati goodnight It was nice meeting you.nikamwambia goodnight pia tukalala…hiyo ilikuwa Friday,sasa Niko na pesa…the following day night I could afford to chafua meza zote in that club na sio kuringa…kiburi ikaniingia.pesa tamu jameni. I called my dancer friend nimchafue chafu chafu,nikamshow story,akaniambia tutafute uncle ken with immediate effect.I said no,we already have money so hakuna haja…anyway we went to the same club tukanza kujisikia watamu kawaida,urembo tulikuwanga nayo, kidogo,uncle ndio yule anatucheki,waiter akaja,unaitwa. Kufika uncle akasema yeye hakaangi na wanawake table moja so nikae tu mahali nilikuwa na nikunywe na nikule tu anything I wanted…nikichoka nimwambie anidrop…we! I was very happy…kumbe sugar d wanakuanga wazuri hivi…anyway tukakunywa tukaitisha nyama ugali, airtime,tukapasua machupa masahani hata vita karibu tuanze kwa bill yake tu…but heshima kiasi tu ndio at least kamshahara. Tukachoka nikamwambia akatudrop.my friend akashuka akaningoja he kissed me goodnight gave me 5k and said we would talk…that is unused 15k in two days! Lucky gal.
7
Maisha yakawa mazuri we could meet on Fridays and Saturdays,Friday 10k Saturday 5k.so 15k every week na drinks kadhaa za kukunywa na kubeba.wah I was lucky,my friend was jealous but she was my friend so jealous ni yeye na watu wa kwao. Pesa drinks chakula kudropiwa na kakiss no sex…there is this night,akinidrop akaniambia he wanted me to do something for him a favor…wah,OK! That is if I didn’t mind.nikasema anything for you uncle! Anything? Nikasema yeah anything…akasema yeye hataki sex na ameiweka clear from day one so anataka tu my innerwear yaani thuruari akanusange! Nilishtuka but then again nikaona well suruali tu,hachukui nunu…well,I had a veeeery nice gstring I’d bought expensively na pesa yake of course…nikatoa polepole nikimuuliza kama ako sure a nataka…akasema yes 100%,OK,I handed it to him.akasema thank you kama mia mbili…akanipea mshahara nikashuka gari nikaenda zangu…this uncle of mine we only met at night. Earliest tungemeet ni 10pm akinidrop ni 4am ama hata 5…kwa bar hatungeongea so tungeongea tu akinidrop.hasumbui ana pesa.nikajiona Mimi ndio Mimi.
8.
Poleni…nimefika sasa.mahali imebaki ni kidogo tu
Tulikuwa kwa thurware…he took it for sniffing…ilikuwa sato so the next I could see him was the following week. Nilifikiria sana juu ya hii suruali nikaanza kuimagne vile mtu ananusa ngotha kama ngombe dume akinusanga kike…sikutaka kujiua juu ya hii story,I let go. We met a few more weeks mshahara yangu kawaida na mapenzi kibao…haki this guy loved me! Angenidrop tunakaa kwa gari parking for like two hours or more,akilia lia kama mtoi ati ooh ananipenda sana sana na hataki kuniona na mwanamme mwingine.yaani he loved me so much hadi anatokwa na machozi…He had 3daughters,his wife died,akamwachia watoi though ni wabig.I used to look at him and am like,who does that,a grown big ass like him,why now? Anyway ningemwacha tu Analia nangoja amalize nampatilia tissue apanguze machozi Saa zingine atolee makamasi shati zake…anyway he was drama.after ngotha manenos tukakaa for like two months usual stuff…outings droppings and salaries
9.
Saaaasa one very good Saturday,meeting as usual nimekunywaa chauffer aka uncle hakuwa amefika but akanishow ako meeting nisitoke hadi afike.bill ni yake so ningetoka aje? Nikamngoja until around 2am akaingia,he told me nimalizie anidrop juu amechoka. Nilikuwa nimechoka pia so tukatoka. Parking kawaida,kiss here and there nikiomba ndani yangu amalize tu anipe mshahara nitoke!! Juu hata hizi kisses hazikuwa kisses za kuenjoy,zilikuwa tu za kuvumilia mate kupakwa uso yote.mnaezaimagne uncle ananipaka mate nikishuka gari nakaa ni kama nimenawa uso na hakukuwa na towel…anyway uncle was very huge,mwili kubwa sana na alikuwa anagym kukeep fit so alikuwa energetic.sasa after kupakwa hiyo mate yote nilitaka kushuka kutoka kwa gari,akailock ati kuna kitu anataka kunishow. Nikamwambia sawa but mbona unalock,akanishow ni kitu ya kuogopesha na hataki nihepe na nisipige nduru…I think nilicum hapo tu ama ilikuwa susu…but nilikuwa wet! Hii pesa yote nimekuwa nikikupea unadhani natoa wapi???awuoro…sasa mi ntajuaje???nika
mwambia sijui haki kwani ulikopa? Akaniambia hajakopa. Haya, 'na ukifikiria vizuri nini ya maana umeifanyia!? We mi kufikiria kweli hakuna kitu cha maana ni tuviatu hapa kule zingine zikipotea haki sikuwa nimefanyia anything…nikajua baaaasi mi kwisha.I was looking at him waiting moto ianze kutoka kwa macho ama ageuke akuwe nyoka…hapo nimesweat my hands trembling like its non of my bizna…haya akauliza tangu achukuwe suruali miezi tatu imeisha? Na mind u akiuliza this question kuna kitu alikuwa anatoa kwa Viti za nyuma mi nafikiria naona kweli hata sifikirii…h
ivi ndionilichanganyikiwa kama hamjaelewa…
akauliza tena miezi tatu imepita? Nikasema I don’t think so…sasa whatever alikuwa anachukuwa hapo nyuma he had it kwa laps zake…something round kama guard ndani ya paper bag…akaniambia alikuwa meeting na hiyo amebeba ndio ilifanya akawie juu alikuwa lazima atoke nayo…
10
Saa hiyo nimetense haki,nangoja kifo. I prayed,pombe ilikuwa imeisha kwa kichwa…akaniambia nisiogope he is in my life already and me in his so nothing will separate us…haya ni mwanamme mgani anaezapeana tu pesa hivi with nothing in return,he asked, na, have u ever asked yourself why you have never seen me mchana…Saa hiyo ndio inaclick ni kweli hatujawahi meet mchana…nikamwambia sijawahi hata.ni kuassume tu unaezakuwa uko busy.akasema mtu hawezi kuwa busy week yote. so nikauliza mbona BTW sijawahi kuna mchana,akasema according to their scripture he is not to be seen by someone like me na pia hafai kuhave sex na Mimi…woooi sasa kimeumana,ntalipaje hizi pesa zote amekuwa akinipa. So what scripture bible ama…akasema sio bible,ati ni scriptures tu zao…ile mtungi ya round kwa mkono sasa ameifungua kuna kaglass hapo ama ni kakikombe akamwaga akaniambia nikunywe,nikakataa…wee he looked at me zile za,hauna choice ni ukunywe ama ukunywe…na tumikono tunatetemeka nikachukuwa nikakunywa…tasted weird very weird…akaniambia baaaaasi hiyo sijui ni damu imemixiwa na nini…hata sikutaka kusikiza but ilikuwa covenant ati sasa Mimi na yeye.ati amenirecruit na nianze kuhesabu miezi tangu panty achukue ikifika tatu tu hivi,something will happen…he heee and by the way its a real story ati novel sijui nimeishiwa words…ni story ya ukweli na sijaexgerate in anyway
11.
…so apparently scripture inakataa kuhave sex na kuonekana mchana…he told me vile anaezawacha hiyo gari hapo na hakuna mtu atagusa…Saa hiyo yote naendelea tu kurepent kwa Mungu nikikemea pepo chafu kimoyomoyo. He looked at me and point blank akaniambia yeye ni devil worshipper na amenirecruit…he heeee i died inside.how now,why me? Why did he pick me? Nilimuuliza akasema ni juu alinilike…according to scripture mtu unarecruit hamfai kulala na yeye…sasa akaniambia twende kwa nyumba,told him Siz yuko na mtoi…he he akaniambia anajua naishi pekee yangu so twende na tusibishane…akafungua gari tukashuka…single room na mi nilikuwa wale wa kuslay huko nje ndani kwa mlango unapatana na kikombe ama sahani ama tu sufuria ilipikanga ugali miaka mbili sasa inaendelea kukauka ama vyombo tu chafu zina moulds…anyway tukaenda tu sina choice…kufika hakukuwa na sitima…nikamlika na simu nikaaa kwa bed.akajibwaga chini kwa floor mgongo chini tumbo juu sijui kifudifudi au chalichali told him floor ni chafu hata haina carpet akasema scripture haimuallow kukaa kwa bed yenye hajui watu wamelala…akaanza kulia vile amenipenda blablabla…na scripture inamzuia kunimanga…we! Sasa akaniambia ako na request but ataniwacha nikifikiria.he wants to buy me a house and a car na pia biashara poa yenye nataka,mradi tu nimzalie mtoi…yaani nibebe mtoi wake for 9months then nizae na amchukue nisimuone…OK. Nikamwambia nafikiria.akatoka na kuniwachia mshahara kawaida…akaenda. Ilikuwa around 4ish kidogo akanipigia simu ati what he told me was serious na kama nashuku ako hapo na ‘mama’ yao nimuongeleshe anielezee kila kitu…weeee niligongesha simu kwa ukuta ikavunjika…
12
Kuvunja simu nikatoka mbio hadi forth floor kuna jamaa alikuwanga ananidai but slay queen wa hizo enzi jamaa anaishi single too.,aje??how now…?anyway nikamwamusha nikamwambia nimekuwa na ndoto mbaya, nugu ikadhani nadanganya ati labda namtaka,atleast that’s what he told his friends the following day…Dan kama uko hapa haikuwa ndoto now u know…nikamwambia awache tu nikae kwa kitu juu singelala kwa kitanda na yeye…I watched hadi 6 nikaenda kwangu…mawazo chungu nzima…nimeomba maombi yote nimeambia Mungu tu anisamehe kwani nimeelewa makosa yangu…thought nikifika ile pesa itakuwa imepotea…wapi! Anyway masiku zikapita nikawa narepent kila siku nikingoja miezi tatu ipite…na nikaanza kilenga simu zake.3mnths down nothing happened. Nikahama that place to a different estate…nikakakaa like a few moths he called me nikachukuwa ati mbona namlenga told him still thinking on proposal…akaniambia niache uongo.ati mbona nilihama nikamwambia nilishindwa kulipa rent nikahamia kwa cousin yangu,akasema toka nje unisalimie…ilikuwa usike kuchungulia kwa balcony gari imeparkiwa hapo…nikaenda nikamsalimia akaniuliza nimefikiria aje…told him still on it.akasema sawa sasa anaezaenda…mind you I never told him where I moved to…Satan is real! To cut this story ‘short’ I cut communication with him, few months later I got pregnant with another man gave birth to a very beautiful bouncing baby boy.very healthy na hakuna na shida yeyote…he passed on mysteriously hata kabla tutoke hosi… Hata doctor wakashindwa what happened… Wa kusema ati mi ni deacon kwa church yake, i didnt join him am a christian and i go to church…the scripture I know ni bible…Years later, that is juzi tu I bumped into him in some club nikienda kuona one of my friends,akanisa
limia ati how have you been told him nimekuwa through a lot here n there got a baby but I lost him almost immediately June nilizalia ocha…akasema I know…END

[ATTACH=full]146587[/ATTACH]
ushakuwa reject kwa hii kujiji!

3 Likes

sawa wewe unae kubalika unafaidika na nini?? …some of yall mnakuaga petty sana

leo hekaya inakaa mixed up kidogo!! ulikua dame ama?

plagiarism is not being petty, meffi

Ni coincidence inaitwa uchawi?

Hii place inabore hadi wadau wanaplagerise kilimani moms hekayas. Shame on you dingo wa Kilimani Moms.

Resident knickers-sniffer has just been outed.

Out of curiosity…kunakuwanga na devil worshipers??? Have never believed they are…