Siponsa kanyimwa busu kaona hamna namna labda alete hali ya hatari kwa vinywaji vyake. Siponsa haambiwi No! Na Siponsa haambiwi mdomo is smelling otherwise! The daughters of Jezebel karibu waachwe wakikunywa mziki na ego the whole night as young legend staged an exodus with his drinks.