Jirani
January 18, 2016, 1:52pm
2
Sisi watu wa KODI don’t need these links. BTW IMO hio spectre aikunibamba. I prefer older JB movies. Kuna channel on phoenix add on that has all JB movies
pierce brosnan ndio alikuwa ananijazz
muendo
January 18, 2016, 2:47pm
4
mblatha tupostie dem links bado hatujavuka kodi
WuTang
January 18, 2016, 3:33pm
5
shades of blue ikoje, sitambuangi j=lo
@mollisleloaded niaje? Nataka direct download ya sicario, hamna torrent.
@mollisleloaded niaje? Nataka direct download ya sicario, hamna torrent.
danji1
January 18, 2016, 6:32pm
9
Hizi links hata ukigoogle movie, si rahisi kuzipata. Wewe hutype nini ndio zitokee?
1 Like
Schemer
January 18, 2016, 6:53pm
10
@danji naeza kusaidia bt staki kuharibia mollis kazi yake kwa kijiji
haha hakuna kazi unaharibu…nikuhelp tu
first of all kuna njia tatu…unagoogle parent directory plus kile unatafuta for example
parent directory call of duty
second kuconvert torrent to download link direct unacopy magnet link unaenda filestream.me au zbiggz unaipaste bora seeders wawe high
third…ni sites tu kawaida za movie
2 Likes
Schemer
January 19, 2016, 7:54am
12
@Mollis thats long.btw mi sijuangi mambo ya torrents etc.so wat I do ni
1.google 4do.se
2.click the first link
3.select the movie u want
4.move down and select M4(the yandex link) then a button for download will appear bt all words are in russian.
5.if you have IDM u will be very happy
questions?
2 Likes
iko salama pia…the more alternatives the better!
1 Like
Schemer
January 19, 2016, 8:42am
14
Yea @Mollis ata 300mbfilms.com bt lazima ukue keen unaeza download ya kihindi ma kitu less than 1080
1 Like
@mollisleloaded uko na katorrent link ka hii spectre…hii imekataa inasema HTTP error 401. ama ni comp yangu imebeat?
protech
January 20, 2016, 8:14am
17
i thought ilikuwa movie ya maana, kupe ni ufuss
Zee
October 12, 2016, 7:20am
19
weka jina ya movie then add parent directory eg. Heist parent directory