Speaking of bank heists, which talker would you hire?

I would have the following in my corner

I would hire @pseudonym to distract the watchman and police with her sexcapades. Meanwhile, @introvert ako kwa passenger seat and kwa driver ni @Rene Descartes.

I would also have @Deorro on the other end of the plan ndio nitumie bedsitter yake kuchange nguo. Pesa napeleka kwa nyumba ya @gashwin because no one will interrogate an old respectable mwalimu.

I would never have @FieldMarshal CouchP anywhere coz he’ll just slow you down yeye na negativity zake.

I contact @spear nimpee zake aende aongee na CID watulie juu pia yao iko.

I then go visit @Budspencer in eldy together with @Tarantinoh as I make my way to UG and lay low for a few months.

28 Likes

:D:D
Nafanya nini kwa passenger seat?
Ama kihara yangu inareflect their gaze?
Tubebe @mukuna ndio gari ipite road block zote bila inspection.

21 Likes

Umesahau @uwesmake Remember manager inside job.

13 Likes

:D:D:Dmechanika hawessdrive. gari ikispoil itakuwaje? lazima kuwe na mtu wa kutest mech akisema “piga tusikie”, alafu inapigwa

8 Likes

true :D:Dbut he would be distracted by pseudonym hapo na mawatchie akisteady juu ya sexscapades

4 Likes

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

what are guys smoking?

5 Likes

Beba @Deorro pia.
Jamaa ni mweusi akikaa kwa boot gari automatically inatint dirisha zote hatutaonekana.
Bora anyamaze asitusumbue ati ohhh, mara makati, mara buskut, mara juis.

28 Likes

lazima birionea @amun na @mayekeke wakuwe kwa mix mukichomoka na pesa nikuwakabidhi 49 million waoshe through their business proceeds mukishikwa wanawatoa na bond munakaa vizuri . si kuenda kuficha mamillioni kama ngombe kwa nyumba . 1 million munakula polepole kama njungu .

16 Likes

:D:D:D:D:D

:D:D:D:D:D

2 Likes

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
chieth oyieyo

:D:D:D:D:D:D:D

Structural injinia mwitu @shocks ni muhimu kwa kujenga tunnel. @Meria Mata akusaidie upenye A104, hakuna mtu atasimamisha ZB.

9 Likes

The more people you bring in the higher the risk of a snitch, Sasa deorro akiwa kwa boot cut yake ni ngapi?
This are the talkers i would pick for the heist
@kawambui
@aviator
@Wakanyama
@introvert (getway Deree)

10 Likes

@jumbakevu amesahaulika wapi?

7 Likes

Mimi nitaingia after you have successfully ran away with the heist and I won’t ask any thief for permission to share in the loot.

1 Like

:smiley:

ndio afanye nini huyu kama si kumblein ati getaway car ikuwe mazda carol?

2 Likes

how will this one help you?:mad:

2 Likes

Hehehe. Mbona mnasahau watchman @pamba

6 Likes