Spanking in public. Muache upus

Uyu jamaa anafanya nini.

Most likely ni wale watu husimamisha madame random kwa barabara. Physco

Hajui difference ya lanye na dame. Mimi ata dame akue na all signs za lanye avae mini, tatoo, nose ring, na zile slippers ziko na manyoya siwezi jaribu kuongea na yeye

Utapata hauzi. Na maybe ata ni undevage

giphy (1)
Tutaona hii thread. Meffi

4 Likes

Wewe mzee wa calabash tulia. Plus polish up on ur grammar.

Tushaona twitter sio ktalk.

3 Likes

Doesnt look deliberate though… Huyo dem lazima ni dryspell inamsumbua…kuzusha kitu kama hiyo… horny women can be dramatic, just like a chicken that wants to lay an egg urgently…

2 Likes

Jamaa anaweza hata kuwa pick pocket. I’m struggling to see what the issue ya groping is here

2 Likes

Jamaa is guilty…mkono yake inampeana. Hapa hii ni ujinga yake

2 Likes

Buda unaniangusha bana, hehehe?.. fella was wiping/touching his face, people instinctively have opposite hand balancing motions…

Kuna handball na ball to hand.

2 Likes

Ok, maybe haikuwa intentional, hapa itahitaji tu msee hataki maneno mingi na kesi itupiliwe mbali but akipata dada ya @TrumanCapote itakuwa shida, kuna kijana ako ndani juu ilisemekana ame spank mtoi wa mdosi wake yet ilikuwa tu uongo, kijana ali fainiwa 1M sahi ako inda.

2 Likes

Kwani ilikuwa story ya his word against her’s?.. There must be a way to navigate upuzi kama hiyo bana… Alikuwa na effidense ya kalatas?.. ama P3 ?

1 Like

ilikuwa hivi, bro ya hako kadem alikuwa anataka kuenda starehe, alikuwa anataka kuenda kuvuta bangi si unajua tu groups, kijana (yule ako inda) akamkazia juu yeye ndio alikuwa amewachiwa watoi while parents wako nje shughuli. Bro ya kadem alidai “ni ukweli ali spank” kijana ndio alim-frame, kijana alikuwa kama their big bro, wazazi wakutaka kujua wakamweka ndani. Na vile kijana alikuwa amejituma alikuwa hata anawafunza driving banae. Kijana bado ndio alikuwa ana wadrop na ku wapik chuo. Hao wazazi walikosea sana.

1 Like

How old was the spanked girl again?.. I think when you escalate trivial matters like this, its like cursing your own kids… ingekuwa real assault ama attempted rape sawa…

1 Like

Mtoi wa kidem alikuwa 12. Bro yake alikuwa 17. Hio maneno iliniudhi sana. Parents walikuwa na doo so wakawa na sauti.

1 Like

Not intentional.

1 Like

Ni kitu alikua amefanya mara mob

1 Like