Kwani hakuna mwenye anawatch hii mechi ama niko na zangu.
Meanwhile Spain wameshikwa K na Morocco.Naona ikiisha draw 1 : 1
We are at the 78th minute
Kwani hakuna mwenye anawatch hii mechi ama niko na zangu.
Meanwhile Spain wameshikwa K na Morocco.Naona ikiisha draw 1 : 1
We are at the 78th minute
Scores as at 2:1 Mar surprises Espania
hakuna mdau anaona hii…game saf saaaana, waraabu(chieth) wamekimbiza mkoloni kama vle mlughya hukimbiza maindi ya gorogoro kwa kisiagi.
Sasa unaeeka uzi kama game yaenda kuisha. Funda
Nilikuwa naja kuweka comment nikapata hamna ndio nikauweka.Meanwhile Mwarabu amenyaganywa ushindi
Huyo ref ni coomer sana. Nyang’au za spain zilikuwa zimelemewa kabisa.
Wanasemaga high adrenaline
Walikuwa wamelemewa kabisa.Nikubaya ikiwa hao ni Spain wamekimbishwa hivyo na an underdog team.Thanks to VAR they have saved their face for now.
Meanwhile Waarabu nikulia tu.Naona machozi venye inawipe face paint.
Wacha maarabu arudi nyumbani. VAR iko sawa, mguu alikuwa ndani, shoulder ndo ilitoka kidogo but hakutumia upper body kufunga
Overall game was good…meanwhile mbom ya Iran karibu ilipuke
[ATTACH=full]179655[/ATTACH]
Akina Abdul ni ma yellow card pekee. Keeper pekee ndio ameponea
Game ya mwisho who cares and you are already out
Hehe bet imeingia pabaya niiini?
Zii, I don’t bet.
Sasa ulime kila mtu juu mumetolewa?