Arsenal natandikwa kama burukenge
Leta link mdau
0-1 mkuu
0-2 katambe sasa
Inauliwa banae
1-2 arsenal watu ya goal goal wamefunga biz.
Punda alichoka kitambo @uwesmake kuja kiasi
Lakini hizi teams ziko relegation zinakuanga dangerous near the end of the season:D
1-3 kanyagaaa umbwaaaa courtesy of soton.
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
God ordained team @uwesmake hebu kuom hivi khochaaaa.
Arsenal imepigwa 3-1
Southampton hatuendi nyasi leo tumekaza run away league leaders. @uwesmake pace setters punguzeni kelele ya chura.