SOUTH B slums

Funny enough build yangu inakaa ya Karao! Hizo erea zote hadi Mbuthia pale Huruma nilikuwa nikiingia mapedi na mapoko wanasema mimi ni Karao….walikuwa wanasema “wewe unakaa mtiaji”
Nikiuliza mtiaji ni nani wanasema “ma gava”. Coming from Langata na pia kutojua sheng ilikuwa ina work against me sana! On the brighter side nilikuwa na rafiki yangu alikuwa polisi na aka ni pea hint; “vaaa jacket ya black ukienda ghetto. Kila mtu from Mungich, mapedi na mapoko watajua wewe ni cop in civilian clothes. Hata watu wa ngeta watakuogopa.”
I always used to don a black jacket and a baseball cap

8 Likes

Ushawai kula hio slumm ya langata kijiji?

langata kijiji kuna ndanguro kweli?

1 Like

Duuuh! Hata Kibich sijawahi! Kuchezea Karibu Na home ni blunder! Nishawahi Kula ka dem ka Mpesa hapa opposite Langata High Kanaitwa Atieno kalileta emotions mbaya! Kwetu sisi husema “You don’t shit wea you eat” kwa hivyo usherati ni Eastlands most of the time.

2 Likes

niliskia huko nyuma kando ya wall ya rubia sometime back

kibich nimekula kadhaa, southlands nilikula kamoja wa campus, was to eat mwengine apo southie but couldn`t stand the chick cause alikuwa na maringo sana

1 Like

Kumbe hizi vitu sikuwa alone. I used to find some pleasure in strolling in the slums kwanza kawangare. There is day nikiwalk hapo kawangare ( after the shell petrol station) there is a road inateremka uko chini…near PCEA church. I met a lady alikuwa kitu kiwalk same direction. Kimchezo nikarusha mistari n we went akanipa vitu same day. Alikuwa na figure but just avarage uko chini…

6 Likes

Used to also like visiting the slums. Nimepitia ,lango kubwa into mathare, soweto, mukuru na huko chini ya marimba. But my worst walk was from baba dogo through korogocho to dandora :cold_sweat:

3 Likes

Toa hekaya mdau. Kwani ulikula nyongolo?

1 Like

Hiyo mutura kubwa inaitwa ngerima

2 Likes

dandara yeaps thats me…its my being…i can never disown my existence lest i curse my generation

1 Like

Hio place in gikomba wapi exactly I might explore nilitoka classes nikuwe napitia hapo

2 Likes

Nipee Through pass za hao wa southie na kibich bro, niko hizi maarea

1 Like

Mimi nilikuwa nimejiweka cool kid “lifestyle” wise, internship yangu nilipelekwa hizo sides za Industrial area, nikitoka huko ilikuwa inabidi nipige mguu kwa hizo rails na ni tokee hizo side ya jogoo road side ya stadium.

HR naye alikuwa ameniona cool kid hadi ananiuliza kama nitapitia hiyo njia😅, lunch hiyo pande ilikuwa balaa pia, vibanda pekee. Ilifika pahali nikaanza kutumia the little allowance nilikuwa nayo nakuchomoka na gari kuenda attachment it was a Nissan Navara so pesa yote ilikuwa inaisha kwa fuel na lunch.

Over the years nilianza forcefully ku socialise na watu kila mahali na class, just to get a good perception of reality, hadi gym mimi nilifika za ghetto, unawekewa hapo mtungi ya maji zile za mto na kikombe, ukifungua dirisha upate fresh air unaambiwa uwache ujinga unafanya joto itoke.

Almost passed out day one hiyo gym fermented sweat ya watu wa mjengo sio mchezo, VMX ya Village market huko pia nilipiga some months, such a contrast…

5 Likes

niliwahi kula hiyo kitu nikahara karibu nidedi…na kulikuwa na shida ya maji kwa ploti… so hakuna kuflash choo. una spray tu mharo na kufunikia…

8 Likes

Jesus Christ!!

Kuna time nilifika coast went on some Snorkeling thing na some Europeans, hizo choo hazikuwa na maji na ilibidi tujisaidie before tufike kwa boat, that’s how nilipata trauma…

There was a long queue, kila mtu anajisaidia akirusha tissue juu. Sitaki hata kukumbuka…

Tulipatana na jamaa mwingine Italian baadaye, tukitoka washroom from the same trip akasema “atleast this one flashes” :sweat_smile:

5 Likes

Kula Pakistan niliona ajab Kwa public toilet na unajua hawatumii tissue

1 Like

Nimewai tumia such toilet pale south b, karibu total, it was a traumatic experience for me, I could see worms crawling around aii!!

1 Like

Surprise Omg GIF by IFHT Films

1 Like