South African Boss Fires An Employee For Buying A Car

Shiraaz Patel, owner of a Shell petrol station in Maitland, Cape Town, allegedly fired his employee, Aseza Limelintaka, after she bought a car. He claimed she couldn’t afford it on the low salary he was paying her.

.

.

1 Like

si amupee ikusde case ifungwe.

Watu na wivu…

1 Like

Sad as it may be, Africa imejaa watu roho chafu sana. When I first bought a car, shida ziliniandama job mpaka ikabidi nitafute parking kwingine. Nilikuwa nalipia parking ya kanjo despite availability of free parking at our offices. My then Kamba boss couldn’t fathom how I bought a car na yeye na mshahara yake hana. Na vile I religiously saved my perdiems za Mombasa na Naivasha na nikashika ka loan ndio nikwachu Subaru. Tulikuwa tukienda job Coast nalala kwa cheap lodgings, I avoid lanyes na kukula kwa vibanda wengine wakienda Mtwapa. Job ikiisha najirudisha Nairobi fasta fasta to avoid mindless spending. There was a time I even drive to and fro Nyeri daily for a week just to save my lodging allocation Na kuhepa pombe na lanye. Umbwa sana wewe Mutisya.

14 Likes

Watu na wivu ..smh

@PERDITION Muikamba muyinga!!

1 Like

Kumbe hapo ndio hii hasira ilitokezea

Wakanesa @PERDITION mbona unafanyia mwenzako maneno mbaya hivi?

Kumbe wewe wajua kujinyima raha to achieve a goal..? But nikijikausha to achieve a goal unanipiga ma sweep…

1 Like

My only problem with you Ni kwamba hukunywi pombe Na hukuli malanye kama wanaume wenzako which makes you mtu mnafiki in my books. Mwanaume lazima akuwe na at least one vice.Hio na the fact that ulisomea university based on Thika Road. Otherwise Sina ubaya na wewe.

5 Likes

.. but, but kombashta, sio lazima mtu akule lanye na anywe pombe.. kama vike tu sio lazima mtu awe rapist ama mwizi… see, ni life choices tu.
Kila mtu ana preference zake kivyake

I agree. However, any normal man must have a vice not necessarily pombe au lanye. What is your vice? Gambling ama punyeto?

1 Like

Yeah something must kill a man, and that is what he went for…a car. He will be spending more on it now that he has acquired it.

Maybe chama, kanisa ama philanthropy za kifala zile za shagz

Nkama sina vice ama tabia fulani extreme.. nme balance mambo yangu. Punyeto zi.. gambling zi.. umalaya zi.. maybe addiction ya simu

1 Like

Yours is a facade. Kuna uwezekano wewe ni onyancha ama serial rapist but unaficha white na facade ya a model citizen.

2 Likes

Yaani siwezi focus na what matters kwa maisha yangu. Was a football addict… nguvu ziliniishia. Sahi na relax tu nikijenga kampuni

Huyo shenzi naifuta tena pale Morgan chase juu ya hio hasira :green_emoji:

1 Like

I am beginning to doubt your schooling. Do you really know what a vice is? Wacha nikusaidie. A vice ni kitu huwezi taka mama yako ama your fat kikekuyu wife ajue kwamba you are involved in. Football sii kitu huwezi taka mama yako ama bibi yako ajue kwamba unapenda. Sijui kama unanipata brathe? Haya sasa niambie what your vice used to be.

1 Like

Ndio baba.. nmesikia