Soundtrack ya valentines

Hauhitaji kujua maana ya huu wimbo…Usikize tu…utakachoelewa ndicho.Weka huu wimbo kama soundtrack ya valentines iwepo utakula au utaliwa uroda. Mi nitakuwa natazama vipindi vya Kodi.

https://www.youtube.com/watch?v=fs7l2IfXDCo

Awe…:smiley:

Valentine ni nyimbo bila pupa au vishindo

Nyimbo aste aste kama

https://www.youtube.com/watch?v=_lyeYVB5lUo

1 Like

Huyu alikuwa Coca cola pop stars wa TZ, no?