[ATTACH=full]397576[/ATTACH]
Kinyos umemaliza kazi ya caddy mapema aje?
Ndo naelekea. Panda chainsaw ukujie mayengz. Kuna mbili ziko na jina yako
Ruka reli ya kibich ufike hapa V1 nikushikie black label
Unaishi laini saba omwami? Mi napitia kisaju nikitafuta njia za wachikuyu wenzako nitokee limuru banae. Na nikama nimepotea njia
Mimi billionaire wa bogani
Rushia mimi basi kachupa hivi 18yo preferably:D:D
Kesho pitia Karen country club