Soul ties

Anyone in theknow kindly educate me on what this really is; in the Kenyan context. Of course I’ve googled about it lakini jargon ndio mingi. Kwa maneno machache tu…

Uliza mapadre wa kijiji

Unatombana kihobela hobela alafu unatandikwa na PNC ya swara even if umedecide utaoa utulie…ile senye ulichapa 2005 bado inakuandama. Kitu ka hio

Soul ties is just an imaginary boogy man under your bed,hakuna kitu kama bad luck,just the timming is wrong. Over to you wakiristu

Guilt ya PNC ndio watu wanaita soul ties. Ukikula Mali safi na ujue iko healthy huwezi kuwa na stress. Hata unachangamka ukikumbuka the good feeling.

Ujinga. Sasa watu tumetomba kuma zaidi ya elfu moja na tunatembea tu fiti bila was utasema nini? Hii prokopanda ya ukristo ni kama uchawi tu. Jana niliona wengine wakatoliki na moshi kwa Barabara nikajiuliza hii na urogi tofauti ni nini?

Ni kujipata unafanya jambo wazimu kama kuoa malaya wa Rico knowingly, hutaki, lakini huwezi elewa ni kwa nini, na hakuna mtu anaweza kukusaidia. Ni kama umepagawa, hata unataka kujipiga.

soul tie ni superstitions za wa naijeria.

@TrumanCapote - kuja u explainie new villager hapa ile concept yako ya kufunganisha sole za viatu.

Everyone has a physical and spiritual manifestation depending on which plane of existance you are in. Your soul is a part of you that acts as a phone. It is created in layers, like an onion. When you meet someone and interact with them a layer of your soul is downloaded to their soul(onion) and a layer of their soul is downloaded into your soul. That layer of your soul is a clean exact replica of your soul, it’s like an empty contact entry in your phone that the other person has to save as they like.
Once the two or more soul layers have been exchanged between people or even places a spiritual link is created that connects them unless it is broken. Breaking soul ties is like deleting and blocking unwanted contacts from your phone.

Soul ties ni porojo kama zile story za mùthica itu tulikuwa tunapewa tukiwa tuhìì

IYO STORY YOTE NI FEAR MONGERING, When God calls David a man after my own heart , na kina Solomon kwa bible juu walikua walima watu proper , siku hiyo hakukua soul ties ???

Venye mimi naelewa hili swala…

When you sleep with a woman, you two become one. That’s why you will always remember the women you have taken to your bed. I think that tells you a lot. “you are tied”…you take a piece of her and she takes a piece of you.

Bayeye kwani wewe ni mrasta

Mimi naona Mungu aliona abadalishe katiba after kuangamiza sodom na gomorah…:D:D

Read somewhere that once you mate, souls bind to become one. What you inherit each other’s positives and negatives. If you bind with people who always have luck in their side you begin to attract the same and think almost subconsciously or behave in a similar manner.If you bond na watu wa mikosi utaanza tu kuona Dunia inakuonea. They say they lesser the bonds the more the chances of success. But again what do I know

uko na copy ya hio katiba mpya , u can share :D:D:D, ana sema he is the same jana , leo na milele:D:D:D

So in short hakuna soul tie na ile lanye nilisiaga propali na kuisahau pale 1997 hadi nikapigwa marufuku kuingia eastleigh,but kunguru flani ya last month inadai rematch ju niliperform kama team ya congo wakati ya worldcup flani though nadai pia,hio ni soul tie ama ni nyege zinatusumbua?

:D:D:D

Saa hii ndio soul tie…you can remember what you did in 1997:D…unakumbuka pia ya last month

I am a devout commonsensarian:D:D

:D:D mnatumia bible gani huko

Upuuuusssss. Senye kama ni tamu ni tamu. Its like remembering that good old fanta taste ikiwa baridi na boflo
[ATTACH=full]445530[/ATTACH]

Not that pisswater :smiley: