Sorghum

Nani ako biashara ya white sorghum tufanye na yeye. Had planted in shinyanga tz tunavuna sahii. Lazima tutafute pesa from all sides. My advice to all talkers try all sources of income, you might never know where your blessings lie. [ATTACH=full]161084[/ATTACH][ATTACH=full]161085[/ATTACH][ATTACH=full]161073[/ATTACH][ATTACH=full]161074[/ATTACH][ATTACH=full]161075[/ATTACH][ATTACH=full]161076[/ATTACH]

Biz ya cereals iko na pesa kama shaitani, nataka kuingia hio sector, kuanzia Zambia na Tz. maasai 101 ingekuwa mahindi ninge ku-hook up na Miller mmoja ile mahindi unamletea anachukua hata kama ni trailer 10

Poleni, the first photo nimeweka peanuts by mistake, but pia peanuts ziko.

Soko ya nairobi ama wapi na price pia.

Sio soko, ni kwa milling plant yao, wanapenda mahindi kutoka Tz sana,Bei hubadilika I’m not up to date with the current market price.

Which milling…

I thought mapadlocks banned exporting food items to Kenya. Good biz lakini

What do you want to do in zambia i might be of help. But try tz first kama unalima shamba ni cheap sana

Unashikana na wenyeji wazuri and is ok. But there still challenges everywhere you go. Mvumilivu hula mbivu

Border crossing ndio najua ni swara especially because of the hostility mapadlocks anayo towards our current government and Kenyans by default

Inbox

I saw in Busia guys bringing maize from Uganda through boda boda hadi ina jaza trailer.

M7 is a good guy and allows his people to sell food to Kenyans. I love visiting Kampala

Ama azichome, chicks style

How will you transport to Kenya with the export ban of unprocessed goods?
TZ ni moto ya kuotea mbali. Farmers are still stuck with produce from last year

This has brought problems for the ncpb managers, they had anticipated 1.5 million bags- 3 million bags, they have reached the ceiling i.e 3 million bags and yet the lines of eager farmers in their truckloads, are parked outside their silos.

Nipee contacts nikimbie pale Tororo nikirudingi na Trailer saba full of maize bana.

Mahindi ya UG ni low quality, hawachukuangi mahindi ya UG

Unangoja serikali ya tz itoe kibali ya export n ur good to go. Which they have already

Hii mwaka lazima nipande mahindi