I am having some biashara downtown along Keekrook road. My fundi has shown me a nice pub I can relax kabla amalize some printing. Pub yenyewe inaitwa Sophia Joy just next to club bavon or opposite liddos. Kunguru ni mingi zimejaa kwa stairs na kuna lodgo upstairs. Mziki sio mbaya wanacheza Kendrick Lamar na Big Sean[ATTACH=full]202121[/ATTACH]. Watu wa JUG DANIELS wako catered for pia. Kama kuna talker ako hizo sides anaeza pitia anisaidie kumaliza haka ka black and white half. Meanwhile if there is anyone feeling sufficiently philanthropic till number ndio hiyo… P.S. am leaving by six sharp.
Nyinyi maCSI tunawajua
Aje sasa… paranoia ni ya nini??
The place looks more of a brothel than a pub
true story… huoni ata jina wamecopy sabina joy…
JugDaniels na Kendrick Lamar na big Sean. I now understand why peasants wallow in their own puke puddles
Duke wacha kuongea mbaya kuhusu jug daniels that’s the best drink in the world. Mnajifanya high class ati keg beer is for peasants fact is yule mtu wa keg na Johnny Walker watalewa kiasi kimoja so it doesn’t matter what you drink