Slayqwin alidhani ameangukia a Prince iko na pesa kumbe ni Naija drug dealers, sema ku packiwa bag akienda holiday, mschana wetu hana habari as she is unwittingly a drug mule, kumbe coccaine tupu imefichwa ndani buana.
Hakuna ukame jela. Kuna siku pokoste alinipea hekaya ya vile one of the senior wardens (mmatha) langata alimfanya bibi akiwa mfungwa. Nilishangaa sana.
Ilikuwa hapo Kericho kitambo kiasi kabla wafunge. Pokoste myoung, petite. Niliona nimeangukia. In the end alinipea hekaya mob mpaka time yangu ikaisha. Nilinuonea huruma, hata doo nikamwachia tu.
The way she explained in, ni kama it was a common thing there among wardens na wafungwa. Ati huyo mmatha alimuapproach (being young and naive) akaanza kumshow vile anaeza organize food, sanitary products etc basically make her life easier. Akakubali, and the woman delivered. However, siku moja alikujiwa usiku na warden mwingine, ati madam anataka kukuona. Long story short, the warden alikuwa anataka kusuguliwa coomer mpaka amwage, and it became a regular occurrence. Enyewe usiwai wacha mtu wenu aende jela.