SONY is still the king of TVs!

Hii series nimeanza kufuata baada nipate ile thread ya @vercetti19 ya 2021, asante kaka…sikujua kuchambua TV ni kazi hivi inahitaji uwe maakini sana. Sony A95L Oled ndio the best TV kwa market saa hii. Hapa nimeona hata Hisense ama TCL hazikutosha misuli, Samsung naona zimeanza kuwa mitambo misuuri pia. Huku KE tunauziwa Sony za kitambo kwa bei tatanishi sana, hakuna Bravia 7, hakuna Bravia 9 na hizi ndio bingwa chini ya Oled ama kama hutaki Oled na unataka Qled Mini Led.

Interesting we are still waiting for tandem OLED although QD OLED is superior.

1 Like

Msito umepotea sana, hope uko salama…yes QD OLED will be here for a while, lineup za Sony hii mwaka zimekuwa unstimulating.

Sonys of lower specs are expensive than their Korean and Chinese counterparts. Never understood why

1 Like

Inaitwa ‘Sony Tax’…hizi mtu hungoja clzikiwa na offer msuuri ama nunua tv brand zingine lakini high end hapo Sony ndo kusema.

1 Like

Branding.

So nikiibia mhindi properly niende Anisuma electronics shop niseme nataka Sony Tandem OLED 42"?

1 Like

Hehe unanua OLED chini ya 55inch kwanini? Anisuma hawana hata, Kenya hatupati vitu latest.

2 Likes

Okay bro. Where can I get it the OLED 55"?

Kilimall naona bei ni juu kiasi

Dubai, ama ongea na dealer Luthuli atakuletea, ile utapata locally ni LG C4 OLED.

2 Likes

Sony went back to the Screen industry after the initial OLED and QLEDs failed

1 Like

Inaonekana waliperfect izo TV, alafu hawana TV category nyingi kama Samsung, Hisense na TCL, ni mid range na high end flagships. Launch yake juzi nimeona to Qled MiniLed na OLED.

https://www.gizmochina.com/2025/04/10/tcl-thunderbird-crane-7-pro-qd-mini-led-tv-2025-launch-specs-price/

Shida ni hatupati the same specifications kwa hii region ya MEA, zetu huwa sawia na za UK/EU kama sijakosea. Durability pia ni kama kucheza kadi, ukipitia pale Reddit uangilie customer reviews za TCL na Hisense za model high end kama QM8 kuna watu hawamalizi mwaka nazo bila mashida, software issues etc. TCL QM8 = X955, imeachana kidogo na C855, Q681G = C655 Pro. Kama budget uko nayo hizi naona zikiwa 4th na 5th options from Sony LG & Samsung.

From what I have read online, kunakuanga na small variations from the US models and European models which are what we get here. Am sure people cant tell the difference in person. Wenye ni majangili saidii ni Hisense for having same model names but completely different specs. Aya nmeona TCL wamelaunch the C7K and from what I am reading online, that thing has similar image quality as an OLED and even brighter images. May God bless them TCL folks. CC: @Nyamgondho

2 Likes

Yes that TCL launch ya KE ilikuwa shallow kidogo hata C8K hawakutaja, C7K ni upgrade ya C755 ya last year…hapo kwa OLED hapana LCD kuifikia ngumu.

Finally got to watch this and as far as I can tell this shootout is subjective which makes it entirely unreliable for anything other than giving the judges opinions. An objective shootout that measures certain metrics(preferably in a lab) would be more indicative of performance.
On top of that it appears that the judges even knew which tv was which beforehand, which introduces bias. Ideally even a subjective comparison should be done blinded ie those judging shouldn’t know which brand or type of tv they’re viewing.
Anyways I’m not a TV guy so take all of the above with a gunia of salt

1 Like