Sonny TV on sale

[ATTACH=full]471076[/ATTACH]
Old design but in perfect condition.

Hii TV sikuwahi ielewa. Ndio ilikuwa inaitwa plasma TV?

Hii kitu umekuwa ukifanyia nini wajameni? Do you have a vcd player too na CD changer?

Not plasma. Projection TV

Hizi watu wanapeana Free,
Bariki MTU.

Hii ilikua sony wega ama sony trinitron. Good ol’ days

Kabisa, Sony Wega Triniton at least 55inch, hii mkiwa nazo hizo siku mlikuwa ‘Dynasty’ ,mmetumia soo mbili na upuss kuipata, ama Baba yenu alikuwa mfanyi kazi Msa port akaipata kimagendo.

Sony or sonny ?.

:D:D:D

Hii unahitaji movers kuibeba ukipata mteja. :D:D:D

Mungiki @sludgist kujia upgrade uwache kutumia Shanghai elementary school baby class project kuwatch hustler kwa news

Huyo ghasia uta mwona hapa mwisho wa mwezi. Akiwa na mzinga ya hunters hapa…