Sonko ni wale mnaitaga Alpha males ama?
Sonko nampea president 2037 , jamaa apan tambua system. Akisema watu corrupt wauwawe ni hivo kesi baadaye
haha amefika threshold ya Alpha by kijiji standards ama bado?
huyu amebomoa threshold na akaipita kwa mbali sana.