Sonko Impeached!

Yes- 27
No - 16
Abstained- 2

Kabisa…

chokoraa ameenda nyumbani then apelekwe amalize sentence shimo la tewa .

how can you abuse your boss hata kama umelewa unless uko tiyaro kuenda nyumbani.

korti nayo lazima iheshimu separation of powers

The fool never knew when to back down. Mushienzi kabisa.

It’s very good the chokoraa is now a raia. Huwezi tusi Rais ni kama uko kenyatalk, mpaka mamake. Akijaribu saa hii ndio atajua hio deepstate yeye hupayuka ni nini. Even his boss sugoi is smart enough not to confront Uhunye head on

Next time vote wisely hii oojinga ya kutusumbua hapa na insults hatutaki, chokoraa ni nyinyi, upuuus

sasa atusi KIBICHO ovyoovyo :D:D:D:D:D

Who is going to be the next governor? Naskia watu wakisema waweru.

I saw his entourage on tuesday huku mombasa and it was only two cars. You wouldnt even know it was him compare it to some time jan 2019 when he passed me pale bridge with no less than 14 cars.

kweli power is transient.

The way some of these fellows push people’s jalopies off the road kimadharau you would think they’ll be in power for eternity.

Sonko alidhani kila mtu ni chokoraa Kama yeye…Kuna some people hii Kenya hata president anawaogopa

Kenyans are scatterbrains. I would not be surprised if Jalang’o ran for governor of Nairobi and won.

Haha nakumbuka akitusi joho mombasa.Joho sai ni kucheka tu

:D:D

You have a clip of Sonko insulting Uhuru?
EDIT:
No need, I have found the clip ya matusi.

Jalang’o has a successful career. Don’t underrate him.

How so? He surrendered most of his powers to NMS, he had already backed down.

Service delivery was lacking and his demeanor of a rabid dog didn’t help, good riddance to bad rubbish

Jamaa ataparara vilivyo.kiboko chake ndio chatayarishwa anyoroshwe. Atakimbilia huko mua na kurudia kazi zake za mihadz. He is the male version of kunguru hafugiki.:D:D:D