Wadau wale tulipatia huyu fala kiti tukidhani eti ye in boyz wa mtaani kuna venye atasort story za Nai na za ma youthman bila ngori sai mnajiskia kama Mimi? Huyu msee works imemkataa. Nai amepata kujua iko na wenyewe. Cartels ziko pale hata Uhuruto hawawezi toboa. Sonko imebaki ameanza kutambua kunyang’anya watu nyama si kazi rahisi. Shida take in kulialia kama ule dame nilimanga haga 2011. Nitaenda kuchambua katiba nione kama naweza anzisha mchakato ya kumrecall/kumchuja. Punda amechoka.
And now, a random image[ATTACH=full]170336[/ATTACH]
Meanwhile Sonko’s incompetence can’t and won’t prevent us from fucking, will it? We will fuck in the potholes, in the sewer lines, in the uncollected garbage, in Muriuki’s press conference, in the hawker-ladden streets and everywhere else because our dicks and pussies don’t care about the stinking city; we still have needs.
I don’t think Sonko was voted in because he was the best. Nairobians voted AGAINST Kidero. Yaani, heri nyani angetawala Nairobi lakini Kidero aende kwanza.
Why were they trying to skip him? Hao ndio hawampatii heshima yake. It’s just 6 months after the electioneering ended na watu wanapayuka Sonko ameshindwa kazi. Si tungoje 2021 tumpatie score card.
Shida ni uraibu wa mihadarati, ukiambiwa unaweza nyonga simba kwa mikono yako bila silaha yeyote unaamini. Chochote alichoambiwa Sonko aliamini, sasa anatambua ugavana sio lele mama. Atachagua ang’atuke ama apore mali ya umma katika mda uliobakia sababu hachaguliwi tena.