Sonko ako na kiherehere sana

[ATTACH=full]490842[/ATTACH]

Sonko huwa tu chizi. Uki-interact naye lazima ukubali he can say or do anything
[ATTACH=full]490843[/ATTACH]

Huyu mshamba yuko humu humu.

:D:D:D:D this is hilarious

Ni mukamaba mujinga.

Vidole za pharmacy ziko na tint ya kutosha, za sonko ni abit lighter.

:smiley: You have to agree temperamentally wanafanana though… I mean…

mukamba mjinga illiterate

Ntalami ananyenyekea even though she is the one being bullied. Pesa ni mzuri buana.

:D:D legendary stuff

[ATTACH=full]491017[/ATTACH]

Guka ya mtu na anaongea lugha chafu hivi openly. Some men are broken