sometimes life is too long

It’s only in Campus where you can sleep
at anytime, wake up at anytime. Eat
anytime. Have sex anytime you want.
Have time to watch football, time to play
games. Kulewa wakati unataka. Free WiFi.
Uneza soma wakati unataka alafu kama
hutaki kufanya mtihani unaachana nayo.
Basically you are a CEO. Unafika uku njee
mashida zinakuamsha 4.30am like
nonsense. Unajaribu kuwa Dj ata
mabeshte zako hawataki kusikia mixxes
zako. Unajaribu usanii msee anakusanya
guitar . Alafu ngoma zako zina hit
to kwa single room yako pekee. Unajoin
dance group unaanguka unavunjika
kiuono. Unaachana na dancing juu unaona
ukikosa familia. Unamua unajiita meeting
una discus life yako pekee. Unaandika CV,
mungu anakuonekania unaitwa interview
wanakuuliza kama uko na experience na
content ya 12 years. Na hio wakati
experience yenye uko nayo ni kutingisha
kikombe ya KEG alafu Content ni 40% ya
alcohol. Unaenda interviews kadhaa
unaangukia job. Pale job wewe ndiye
unatumika kama duster. Actually
unatumika kama doormat.
Salary ikiingia, NHIF na NSSF
wanakunyorosha. Helb na tu’loans
wanakukata. Safaricom wanakufyeka like
nonsense. Alafu unanyongwa na Landlord,
mama mboga, TV, stima, maziwa etc.
Unabaki na 600 pekee. Unainvest pale
Sportpesa wanakuchinja kabisaa.
After miezi kadhaa ya mateso unaamua
kuwa PASTOR unaanza kula sadaka kwa
amaaani ukiombea watu hawana imani

6 Likes

[ATTACH=full]149509[/ATTACH]

Xaxa keyvie

4 Likes

hii thread utarudia mara ngapi?

Xaxa

:D:D:D:D:D umeamulia huyu jamaa hatakaa na amani