Haha, umeona ile video ya ule makanga wa Rongai alikuwa anajiona ule mzii?
Nigga was given a good beating. Watu waheshimiane bana.
3 Likes
Hio video ya kwanza ndio vile ule jamaa wa radio and weasel aliwekelewa akalala ICU siku kadhaa na kufa later. Mwenye alimuekelea ako ndani for life, i think.
Kupigana ukifika a certain age isn’t recommended unless your life depends on it.
5 Likes
Touchlyrics:
Haha, umeona ile video ya ule makanga wa Rongai alikuwa anajiona ule mzii?
Nigga was given a good beating. Watu waheshimiane bana.
Forester wekelea video ama utokomee msituni kwa chimpanzee wenzako
4 Likes
sokwemtu:
…

Unamtuma kwa makuzo kaka sokwe
1 Like
sokwemtu:
…
Touchlyrics:
Haha, umeona ile video ya ule makanga wa Rongai alikuwa anajiona ule mzii?
Nigga was given a good beating. Watu waheshimiane bana.
Forester wekelea video ama utokomee msituni kwa chimpanzee wenzako
Ndio hii elders @sokwemtu @Yuletapeli
https://x.com/i/status/1997733884981817535
4 Likes
Mzeekobe:

Hii vita nilikua nataka niione mpaka the end. Camera mani alituuza hapo. Hakuna kitu tamu kama kuona makanga mtiaji akiwekelewa beating.
4 Likes
VIDEO
The Americans must allow us to update bonobo firmware since they grabbed incomplete prototypes.
Mzeekobe:
…
sokwemtu:
…
Touchlyrics:
Haha, umeona ile video ya ule makanga wa Rongai alikuwa anajiona ule mzii?
Nigga was given a good beating. Watu waheshimiane bana.
Forester wekelea video ama utokomee msituni kwa chimpanzee wenzako
Ndio hii elders @sokwemtu @Yuletapeli
https://x.com/i/status/1997733884981817535
Sasa jamaa anapigwa juu ya 50 to 80 bob.