EAZZY LOAN Charge Interest rate Ranges between 2% p.m. – 10% p.m. which will be determined by your [SIZE=6]risk rating as determined by the Bank of the loan amount on a flat rate.[/SIZE] Late Payment Fee 6% p.a. above the normal interest rates on the amount outstanding
If you apply for a loan there are 2 options, you either get or don’t. If you don’t you are safe, if you get the loan there are 2 options, you either pay back or you don’t. If you pay you are safe,if you don’t there are 2 options, they either put you on crb or not. If they don’t you are safe,if they do there is only one option,you won’t be able to even access mshwari for a looong time.
#youdon’taskaquestionyoualreadyknowtheanswer.
#nikoveryidle
#hamaequity
#Justtrolling
So they charge 24% per annum- 120% per annum!!! Waah…
hii system ni ya majambazi,
ma-pastor majambazi,
ministers majambazi,
ma-lawyer majambazi,
na si vijana wa ghetto, maja-mbazi,
askari wazazi
…nafuata nyuki
na silaha na kufunga kazi
ni kunoma, watu wanatafuta na njia zote
unatolewa ushuru na pistol
kwa mdomo kwa jina la Kristo
Nairobi mji wa
wezi na malaya wanalia machozi za diamond kwa lodging
flying squad wanahoji
umetoa wapi gari na haufanyi kazi
wee ni jam-jam-jambazi
vita ni juu ya tamaa
mbio juu ya saa…
badilisha magari kwa uwoga wa kufuatwa
andika will leo in case
kesho utamadwa
patwa na bibi ya reverend nyongwa na sacrament
pesa chafu kwa minister father na padre
sumu kwa kinywaji
hau-trust ata maji
family pia ni wauaji
tangu pesa pombe, nashuku macho zinaniangalia
shuku mikono zinanisalimia
gari zinaongeza mbio zikikukaribia
Nairobi mji wa
wezi na malaya wanalia machozi za diamond kwa lodging
flying squad wanahoji
umetoa wapi gari na haufanyi kazi
wee ni jam-jam-jambazi
jamaa anakula mahindi
na kutoa harufu ya njugu
na hata hakuenda matanga ya ndugu
hii ni system ya ma jam-jambazi
barua kwa @Jirani amevaa miwani aonekane handsome to my honey…
tumederail hii thread but ni poa kujua wazito wa hip-hop wako!!
ka tunaweza ifanya tutaifanya tena na ka
tulisema siwezi rudia tena na ka
umenielewa hakuna time ya kucheza na ka
umenielewa sina time ya kupoteza
Nili chuadoh kitu bila something Sasa najifunza kufunga napkins
msichana sasa mama nashika tama
mawazo ninazo sikutumia condom nikichwado something
saa hii najifunza kufunga napkin
huyu kijana Alikuwa ngori kabla akate dreadi akikimbiza pesa za ‘gospel’
Juliani? ata saa hii gospel zake ni conscious kivyake
Back then vijana Wa Dee walikuwa mambo bad. ma poet kuruka. Sii hizi ngoma za club za kijinga
Kapuka this, Kapuka that
Kapuka this, Kapuka that
Kapuka this, Kapuka that
Ndio watu wakatike , watu wakatike.
akina Agano,Black Duo,Labala,Kitu sewer etc
Ongeza hawa mafala wanajiita Kansoul