Some Say needs help

I need help on disposing a large piece of land (200acres) within the LAPPSET Industrial park in Lamu. Wanakijiji nipeni ideas.

PS: Wakukojolea threads kojoeni tu kama watu wako na diabetes

@Gio and serious people you are welcome to give me constructive comments.

Ni hayo two

Asandeni.

Do you have the title?

Following keenly

Noana shida kubwa, coast mbirrionaires wanalia after their titles were revoked, @Ice-cube
Ebu leta rink

Paper work will be incredibly scrutinized, how legit is it?

Title deed iko swaffi kabisa… I think people are confusing the LAPPSET land na zile that were grabbed. The ones which were revoked are the ones people took 10,000 acres and above and are not near the port.

naskia huko acre moja huwa 10k unauza ngapi?

Title deed?

Hio ya 10k ni wale watu wa coast walipatiwa deeds wanauza hivyo. Acre hio side ni between 2M and 2.5M but kuna greeks wanauza 4M per acre

IKO…

[ATTACH=full]54103[/ATTACH]

Cant see anything, but how much per acre, and where exactly is it situated…Hindi?

Sitaki mjue jina yangu hehehe but ni hizo side za Hindi

Kaimenyi kuja hapa haraka sana!

Mimi nataka 2m per acre

Alafu babuon awaambie wanakadamizwa ka jublee.

I need help on disposing a large piece of land (200acres)

Acre hio side ni between 2M and 2.5M but kuna greeks wanauza 4M per acre
@It’s Le Scumbag ebu fanya hio hesabu, kisha uulise @Some Say alinunua hio shabba mbesha ngapi…

Onyesha mimi mtu wa 10k na hitaji acre 5

Enda Moyale shamba zinauzwa cheap sasa

@Female Perspective kuja uone.

Wrong forum for this post. Tafuta mtu anajuana na WSR, atanunua…