Kuna slum soja alienda shift ya usiku akawacha khupipi kwa nyumba. Sasa kumbe khupipi aliita her side guy akuje asafishe rungu kwa nyumba ya soja. Ni kama walifikisha threshold ya ktalk after that usingizi ukawa mzito wakajisahau. Waligutuka saa moja usubuhi but tena wakaamua wapige kamorning glory hivi.
Sasa ninja ndio huyo anarejea kutoka works saa moja usubuhi. Kufika kwa mlango akasikia bibi anamoan kumoan huku kitanda nayo inaleta rythm sio ya kawaida. Jamaa akaamua kupita na mlango hadi ndani akapata ninja imeweka khupipi g-clamp na mwenyewe anagyrate kama mkia ya zebu akipiga zile thrusts deadly
Jamaa akaamua kupiga nduru wuui wuui huku akileta vurugu. Ikabidi bibi na boyfriend watoke mbio uchi na manguo kwa mkono. Sasa jamaa akajifungia kwa nyumba, akajilaza kwa matress then akajiwasha na kiberiti. Gas ikalipuka nyumba mzima ikashika moto. Jamaa akiwa bado ndani majirani wakasense wakajihami wakatoa jamaa huko ndani but akiwa ameungua cha haja bt still alive. Nyumba nazo ni za mabati, zikashika moto ajabu. By the time zima moto inawasili, close to 70 households down.