which is the best
Kunguru hafugiki. Accept and move on.
Ukichengwa kubali
Kumbe in thread ya misemo. Haisuru,here we go… Yakimwagika hayazoleki
Ushikwapo shikamana
Best spy ni ni wewe ama rafiki yake.
Tumia whatscan kuspy WhatsApp it works well
:D:D:D
Ratio ya madem kwa wanaume 7:1 so
Sijui Kwa nini unajisumbua hapa
KUNGURU HAWAFUGIKI HATA NA screws
Villagers say kunguru hafugiki.Utaambiwa hadi lini…
SPYminator
ukichezwa tulia mkubwa. Kunguru hafugiki
Kubali tu hali yako.
Uliza @hakimoto tulimsaidia hadi tukachoka. By the way nigga how did that turn out, uliweza kunasa kunguru kwa mtego
Afua ni mbili, kufa na kupona .
Slices zako zmeisha,wacha wasito wengine wapate zao in peace
Piga 21 gun salute … move on
nani anatombea wewe bibi jamaneni? ukimpata umuanike hapa:D:D:D:D:D:D