Software people Saidia.

Been using Xilisoft to convert vids across multiple formats but recently kuna movie za zamani kadhaa zimeleta kichwa. For example movie kuna talker flani aliisifu “A Bronx Tale”. Can watch it on the laptop (.Mp4) but nikitaka kuiona kwa 52" mtambo haitambui hiyo format. Conversion to Xvid ama Divx inanishow itachukua 4hrs+ na sijachangamkia hiyo stori. Kindly recommend other worthwhile software kama kunayo.

P.s.: Kenye na convert si ngwati.

naipenda pia xilisoft…si uwache iconvert usiku itakuwa imemaliza by asubuhi alternatively kuna format factory na freemake

Format factory ni baba yao, ijaribu.

Wacha nione hiyo format factory ka inaeza saidia

Any Video Converter

http://www.any-video-converter.com/products/for_video_free/

Utastress before it actually works…That is if utachoose above mentioned advice. and IFF it works it converts only for 4 minutes. Get Nero the latest version. they upgraded it’s features. Ndio yuu tumika by the guys burning videos.

tafuta any video converter portable, 4shared

Format factory mara hio hio

If it’s to DVD format, tumia ConvertX to DVD. Xilisoft huwa chonjo pia, nimeitumia for some time. Try pia Format factory. Any Video converter sipendi, ilinisumbua sana some time ago.

For some reaon AVS Video converter has done the trick. The stone that the builder refused.