Soda

Nimeketi pahali namumunya sonda na ngumu kuambia mwili pole juu ya kuchomwa na hii jua… Nimeona ni Zero Sugar lakini bado iko na sukari… Hawa watu ni urongo wanatupiga ama mbona inaonja kama iko na sukari bado badala ya sonda dufia?

iko na sukari ama inaonja sukari???

Inaonja kama hizi zingine… Nilikuwa nangoja sonda dufia

inataste kama iko flat,expired one.

Inaitwa Coke Zero… Inakaa tu hizi zingine

Na kama wametoa sukari ya ukweli, kwa nini wasishukishe bei?

Strange to me tooo, had one today(after a five course meal of course) and it tastes too sugary…

mbona soda huuzwa pesa kidogo kuliko maji ya dasani?

Inaitwa ‘soda’ si 'sonda.'funda wewe

Grade A trolling

Lakini bado zinaonja the same

Zero sugar soda is even worse than the one with sugar
Nikipewa soda now namwaga kwa sink

Iko na diabetic sweetener

We should ask ourselves that.

[ATTACH=full]287984[/ATTACH]

soda ni za wamama mbwa hii

Yaani ulinunua soda ukitaka ikue ndufia. Si ungenunua maji? Ama uombe ya kikombe

Wanatumia stevyia which is 200 more times sweeter than sugar.

Nilikuwa nanunulia mamayako jinga hii, na akaitisha hadi KDF… Thokwe

Can’t be stevya is expensive