Social calibration

Wadau sijui ni Mimi Niko na shida ama it’s normal when unaingia somewhere for the first time people wankuangalia design flani alafu ukijaribu kuongea na wao sanasana wanakulenga .Another scenario your just minding your business pale Tao then unanotice mtu anakuangalia nikama anakujua and it’s not one person ni watu kadhaa help me understand this

You are just an introvert, nothing wrong

You might be underweight bila kujua halafu unakaa ni kama hauna kakitu. Try dressing the part halafu kula minofu kidogo. Even stray dogs zitakukojolea usipochunga.

Maybe you look awkward and have a short chin

Mimi shida yangu huwa watu kuniomba usaidizi. Nikiwa tao lazima nipatane na mtu … sana sana madem wanauliza sijui direction ya kuenda wapi. Beggers na machokosh nae hawaachangi nipumue ata kidogo bana. Sijui shida uwa nini … lakini juu io stori nimepata vienyeji kadhaa pale kwa steets.

You must be short

Lazima unakaa soja. Wazazi huambia watoto wao wasichana wakitoka huko makwao Keroka kutumia Nyamira Express eti Kanairo ni kubaya so wakifika Ambassador wasiulize mtu yoyote tu directions kama sio “askari”.

Ghasiaa mimi si @Panyaste★ the village midget

Uko na kichwa kubwa.

Ama pengine ni juu sikai mtu mashida ivi ivi. I must pass for a honest and trustworthy guy. Which I’am…

Hata wale watchie wa G4S hudhani hao ni navy seals lakini bado ni soja tu. :D:D:D

But it is good to look and actually be trustworthy hapa Kanairo. We’ve lost the core values of humanity. Mimi mjini kama niko on foot hutembeza kama tractor ukisonga karibu I mow you down nikiendanga kabla uulize tairekshens.

Happens to me when am sleep deprived

Tembea na confidence mtu yangu,mimi comman tao hawezi nikaribia.I see guys being harrassed even with kanjo askaris.I bet you are a target to those chokoras.