Kuna boy flani tumemeet tukidowea WI-FI akaanza kunichapia hii story ya social biz connect, you get paid to socialize, akaniwahi ma screenshot kibao vile hao wasee wanalipa poa. Shida mimi iko na paranoia… Kama kuna mtu anajua vile ina work tafasali elesea mimi
anika hizo screen shots kwanza
Sina hizo screenshot ziko kwa simu yake
Hii nimetoa fb kwa wall yao
Village experts will sort you out tomorrow…It’s past midnight I am off to bed
So, he geting paid well; na bado anadowea WIFI? Bado hawezi afford bundles; hata kama ni mwitu?
Sijui
Wewe ni mundu @shimuka sana. Unangoja upate majibu muafaka ndio ujanjaruke?
upusss
:D:D hao watu usiwai allow waanze kukupea stori…kuna mmoja alinichocha 2 years ago nikaenda meeting hapo mwisho ya moi avenue pahali kuna equity kwa corner…wakatuambia dreams za kuwa financial free…wah nikaanza kuimagine vile ningekuwa baller…mamessage za mpesa ndio ningekuwa napata…if i am still correct unaanza na kulipa 5k…then the more pple unaleta kwa meeting the more unakuwa na network yako bora walipe io 5k…unapata pesa…
nilitoka hapo nikiskia venye unaweza skia ukiota wewe ni mirionea alafu unaamshwa na sauti ya prepaid iko na low units …wenye hubenefit ni the higher up members kama GNLD…but give it a try labda imechange…utatupea hekaya
Don’t waste your time on such. That is just another pyramid scheme.
Mimi ndio huyoooo 123nimetokambio
ku upgrade account unalipa 3600 unakuwa premium member…hapo sasa unaanza kulipwa every Wednesday depending on the number of peeps ume refer na how active mse ako kwa hio site. Mi nikifikiria ni cult flani tutaanza kumeet midnight na kuchinja watu
:D:Dwale hubenefit ni wale walianzisha ama ale wako juu
[SIZE=7]Scam. Toroka mbio na usiangalie nyuma[/SIZE]
http://onlinedesignersincome.com/socialbizconnect-in-nairobi-kenya-a-scam-or-genuine
Hiyo in scam nikona cuzo alimaliza highschool 2014 akajoin last year and paid 3’600 with the hopes of making a lot of cash hadi Leo hajawahi pata hata senti moja, he quit after 3 months hivi
Cover you rear and run for your life! Scam alert.
Utaezana na MLM?
AO wasee n wezi …unalipa 200 ukivka meeting zao then waanza kufunza"wat is an eagle?"
Kumbe wengi wameumiA…